Skip to product information
1 of 4

Pumpu ya Miguu ya Kujaza Hewa Haraka

Pumpu ya Miguu ya Kujaza Hewa Haraka

Regular price 85,000.00 TZS
Regular price Sale price 85,000.00 TZS
Sale Sold out

🏅 Bidhaa za Ubora wa Juu

🚚 Usafirishaji wa Haraka (Masaa 24 hadi 48)

💵 Cash on Delivery (COD)

View full details

🚴 Usikwame tena kwa tairi lililopungua hewa!Pumpu hii ya miguu hukusaidia kujaza hewa haraka ndani ya sekunde chache.

🚴 Pumpu hii ya hewa ya miguu hufanya kujaza tairi kuwa rahisi na haraka bila kutumia nguvu nyingi.
⚡ Mfumo wa Double Cylinder hutoa hewa kwa nguvu zaidi kuliko pampu za kawaida.

🚗 Inafaa kwa baiskeli, pikipiki, magari, mipira ya michezo na vifaa vya kuogelea.
🎒 Ndogo, nyepesi na rahisi kubeba popote.

🚀 Kwa Nini Uchague Pumpu Hii


✔ Mfumo wa Double Cylinder kwa nguvu zaidi
✔ Pressure Gauge kupima presha ya tairi
✔ Inafaa kwa baiskeli, pikipiki, gari na mipira
✔ Ndogo na rahisi kubeba
✔ Muundo imara wa aluminium na metal

Ubora wa Juu uliotengenezwa kwa Wataalamu🏆

💨 Jaza tairi kwa sekunde chache tu!
🚚 Uwasilishaji kote Tanzania
💰 Lipa wakati wa kupokea
Bidhaa yenye ubora wa juu
🔧 Rahisi kutumia popote ulipo

🟢 Agiza Sasa

Maswali Yanayoulizwa Mara kwa Mara (FAQ)

Inafaa kwa gari?

Ndiyo, inaweza kujaza hewa ya tairi za gari na pikipiki.



Je ina kipima presha?

Ndiyo, ina pressure gauge ya kuonyesha presha.


Naweza kuitumia kwa mipira ya michezo?

Ndiyo, inakuja na vichwa maalum kwa mipira na vifaa vya kuogelea.

Ni rahisi kutumia?

Ndiyo, pumpu hii ina mfumo wa foot pump unaokuwezesha kujaza hewa kwa urahisi bila kutumia mikono.



Je, pumpu hii ni rahisi kubeba?

Ndiyo, ni ndogo na nyepesi, unaweza kuiweka kwenye gari au kubeba wakati wa safari.

Inakuja na vichwa tofauti vya kujaza hewa?

Ndiyo, inakuja na adapters maalum kwa tairi, mipira ya michezo na vifaa vya kuogelea.